dc.contributor.author | Kobia, J.M | |
dc.contributor.author | Dimbu, S.L | |
dc.date.accessioned | 2024-03-06T09:23:58Z | |
dc.date.available | 2024-03-06T09:23:58Z | |
dc.date.issued | 2022 | |
dc.identifier.citation | J.M Kobia, S.L Dimbu muwala katika vikatuni vya shujaaz: mtazamo wa kiuchanganuzi makinifu wadiskosi. Isutsa, D.K. (Ed) Proceedings of the 8th International Research Conference held in Chuka University from 7th to 8th October 2021, Chuka, Kenya, p.242-251 | en_US |
dc.identifier.uri | http://repository.chuka.ac.ke/handle/chuka/16033 | |
dc.description | dimbuliana@gmail.com, jkobia2001@yahoo.com;
jkobia@chuka.ac.ke | en_US |
dc.description.abstract | Vikatuni vina wajibu muhimu katika aushi ya watoto na vijana ulimwenguni. Huenda ndio sababu Karne ya 21
imeshuhudia ongezeko la tafiti kuhusu vikatuni. Kumekuwepo na tafiti nyingi kuhusu muwala katika uwanja wa
kiusomi. Tafiti za awali zilijikita katika muwala kwenye makala, magazeti, tasnifu, vitabu na vikatuni. Hata hivyo,
hakuna utafiti kuhusu muwala katika vikatuni wa Shujaaz. Makala hii ililenga kuziba pengo hili. Utafiti huu ni
kueleza namna muwala ulivyokuzwa katika diskosi ya vikatuni vya Shujaaz. Diskosi hii ni jarida linalowasilishwa
kupitia msimbo wa Sheng ambalo hulenga vijana kuanzia umri wa miaka 12 hadi 35. Utafiti uliongozwa na nadharia
ya Uchanganuzi Makinifu wa Diskosi. Mojawapo wa madhumuni ya nadharia hii ni kusaidia katika uchanganuzi wa
diskosi ili kufichua imani za kiitikadi zinazochukuliwa kuwa za ukweli na kukubaliwa katika jamii. Data ya makala
hii ilitokana na sampuli ya nakala 35 zilizoteuliwa kimakusudi kwa kuzingatia kigezo cha yaliyomo. Mpango wa
kimaelezo ulitumika kuchanganua na kuwasilisha matokeo. Muwala hukuzwa kupitia: mada, sauti za
kionomatopeya, maandishi panelini, maelezo ya mwandishi na uzungumzi nafsi. Aina ya muwala uliokuzwa
ulitokana na msuko wa hadithi, muwala wa jumla na mada. Matokeo ni muhimu katika kuangazia namna kampuni
ya WellTold Story ilivyotumia maarifa ya kiusuli katika jamii kukuza muwala wa jumla kama mkakati wa
kuendeleza na kuwawekea vijana vizingiti ili kuwadhibiti | en_US |
dc.description.sponsorship | CHUKA UNIVERSITY | en_US |
dc.language.iso | en | en_US |
dc.publisher | Chuka university | en_US |
dc.subject | Paneli, Uchanganuzi Makinifu wa Diskosi, Mchakato wa Kijamii, Diskosi na Vijana | en_US |
dc.title | MUWALA KATIKA VIKATUNI VYA SHUJAAZ: MTAZAMO WA KIUCHANGANUZI MAKINIFU WA DISKOSI | en_US |
dc.type | Article | en_US |